CWT: OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA YATUHUMIWA KUPIKA TAKWIMU ZA WANAFUNZI HEWA.

MWANZA.
Chama cha walimu mkoani Mwanza kimesema, mkurugenzi wa jiji la Mwanza alipika takwimu za wanafunzi hewa na kusababisha watumishi 62 kufukuzwa kazi
.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongela amesema ameunda tume kuchunguza madai hayo ili kujiridhisha na kuchukua hatua stahiki.Angalia video hapa

Chapisha Maoni

0 Maoni