Ali Kiba ataja wasanii anaowakubali nchini Uganda




Star kutoka Tanzania anayesumbua na ngoma kama vile Kajiandae na Aje, namzungumzia Alikiba ,mapema juzi ametoa list ya wasanii kutoka uganda anao wakubali na angependa kufanya nao kazi.

King kiba amewataja wasanii hao kuwa ni Eddy kenzoBebe Cool na Maurice Kirya kuwa ndio anaotazamia kufanya nao Collabo na pia ndiyo anaowakubali.
Alikiba aliyasema hayo alipokuwa kwenye interview na journalist kutoka Uganda, Mr Sadik Odeke, Katika interview hiyo ambayo inarushwa na television ya #NtvUganda, King ameonesha kuwa impressed na namna watu wa Uganda wanavyo dumisha tamaduni zao na aina ya muziki wao.
Pia weekend hii at Sunday, Alikiba atakuwepo nchini Uganda kuwasha moto kama main artist performer katika Event kubwa ya #Blancket&Wine.

Chapisha Maoni

0 Maoni