Nedy Music adai hatafanya 'collable' na wasafi


Hit maker wa ngoma ya “Usiende mbali” na  mkali wa Bongo fleva kutoka lebo ya PKP Nedy music, ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ya “Rudi” iliyotoka ndani ya mwezi huu akiwa na Christian Bella.



Nedy Music
Nedy Music, amesema hajafanya collabo yoyote na msanii kutoka lebo la Wasafi na wala hajafikiria kufanya hivyo.
Nedy ametoa msimamo huo bila kueleza kwa kina sababu ya maamuzi hayo, alipokuwa katika kipindi cha FNL cha EATV baada ya kuenea kwa taarifa kuwa kuna collabo kati yake na msanii mmoja wapo kutoka Wasafi.






Chapisha Maoni

0 Maoni