PICHA : Mgambo amlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya mkuu wa mkoa

[​IMG]Mgambo mmoja anaeonekana katika picha, alimlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya duka lake eneo la Soko kuu jijini Mwanza jana. 

Hayo yamefanyika kufuatia ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kukagua maeneo walioondolewa wafanyabiashara maarufu wamachinga. 

Chapisha Maoni

0 Maoni