VIDEO: Hivi ndivyo kikao cha Halmashauri kuu ya CCM-NEC kilivyofanyika, angalia hapa yaliyojiri.


Kikao cha halmashauri kuu ya Taifa ‘NEC’ ya chama cha mapinduzi ‘CCM’ kimekutana leo December 13 2016 ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao cha kwanza kuongozwa na Rais Magufuli tangu achaguliwe kukiongoza chama hicho tawala July mwaka huu. 

Hii ni video nzima  jinsi kikao hicho kilivyokuwa

Chapisha Maoni

0 Maoni