WCB party: Jamaa ajizolea umaarufu kwa mavazi yake, hebu mcheck hapa



Waswahili walisema penye wengi kuna mengi, msemo huu umejidhihilisha leo hapa jangwani sea breezy kwenye show ya WASAFI BEACH PARTY.



Jamaa mmoja ambae jina lake halijajulikana amekuwa maarufu muda mfupi baada ya kuvaa mavazi ya kitofauti kidogo na ilivyozoeleka kuwa kwenye show watu wanaenda wamevaa mitoko ya nguvu lakini jamaa aliamua kuvaa ki-old school hebu mcheki kwenye picha hapa chini,










Chapisha Maoni

0 Maoni