Ziara ya Hamdu Shaka, kaimu katibu mku UVCCM mkoani Kagera


Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Akiwasili na Kulakiwa na Viongozi Wa Chama na Serikali Mkoani Kagera katika kijiji cha Kahina Mpakani mwa Mkoa wa Geita nA Kagera.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akisalimiana na Mhe:Mkuu Wa Wilaya ya Biharamulo Bi Saada Malinde
 Mkuu Wa Wilaya ya Biharamulo Bi Saada Malinde akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)katika kikao cha ndani 

Chapisha Maoni

0 Maoni