Simba SC washusha wachezaji kutoka Ghana na Togo


Klabu ya Simba SC imesema inawafanyia majaribio wachezaji wawili kutoka nchini Ghana.


Wachezaji hao ni Lamine Moro kutoka Ghana (beki) na Hunlede Kissimbo Ayi-Abel kutoka Togo (mshambuliaji).

Taarifa kutoka kwenye timu hiyo imeeleza kuwa iwapo kocha Patrick Aussems ataona wanafaa, watasajiliwa rasmi.

Chapisha Maoni

0 Maoni