Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi
kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee
imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa
Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha
radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA