Cha ajabu ni kuwa wametoa scholarship za watu wenda kusoma Masters degree UK kwenye mambo ya Oil and Gas na wamefanya deliberate kutochukua wanafunzi toka maeneo ambayo wanachimba/tafiti hiyo get kama vile mikoa ya Pwani na Zanzibar.
Na mbaya zaidi hakuna mwanafunzi hata mmoja ambaye ni muislam kwenye hii LIST japo kwa tarifa za ndani ya SHELL TANZANIA wanafunzi waislam zaidi ya 100 ambao ni waislam waliomba hizi fursa na walikuwa wana qualify
Hawa ndio BG GROUP/SHELL waliosababisha KEN SARO WIWA Kuiliwa na serikali ya Abacha rule Nigeria. Na ndio hawa hawa Shell ambao juzi waliwanunua BG Group
Executive Committee
Pia tusisahau kuwa hawa hawa BG Group waliuza asilimia 60 kwa stake to Royal Dutch Shell,na kwenye hiyo deal ili included BG’s interests in gas blocks 1 and 4 kule Mtwara.
Lakini uhuni waliofanya kwa kushirikiana na wanasheria na accountants wao ni aggressive tax evasion ya kutorosha pesa nje ili wasilipe Capital Gains Tax ndio maana TRA walipowastukia ilibidi account yao iliopo hapo CitiBank ambako TRA iliambulia $5 pekee ndani ya account badala ya doll million 500
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA