Habari ya mjini kwa sasa ni kuwa hitmaker wa ngoma ya mziki na too much Darasa yupo mbioni kutia wino ndani ya WCB
Si huyo tu pia mwanadada mwenye sauti inayomtoa nyoka pangoni ambaye pia ni hitmaker wa ngoma ya Na yule, mwanadada Ruby naye pia yupo mbioni kwenda WCB na atakuwa msichana wa pili kujiunga katika lebo hiyo
Haya sasa Clouds walikuwa wana m'bania Ruby kugonga ngoma zake sasa kama Ruby atakuwa rasmi WCB sijui kama jeuri ya kumkazia kupiga ngoma zake wataipata
Haya sasa wadau mnaonaje wazo la WCB kuwachukua hawa watu je kuna lolote litaongezeka kwa WCB au kwa hawa wasanii ki ujumla ?
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA