Timu ya Simba leo inatarajiwa kushuka Dimbani kucheza mechi ya Kirafiki na Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam,mechi inayotarajiwa kuanza saa 10 jioni.
Simba inashuka siku moja tu baada ya vijana wao chini ya miaka 20 (Under 20) Kushinda taji la Ubingwa wa kombe la TFF kwa vijana wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA