picha wa kwanza kushoto ni meneja Utalii na masoko wa Tanapa Ibrahimu Musa katikati ni Mkurugenzi wa Tanapa Allen Kijazi wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya Zara Zainabu Anselm wakati wa mkutano wao na waandisi wa habari juu ya maandalizi ya miaka 55 ya uhuru ambayo yanatarajiwa kufanyika december 9
Mkurugenzi wa Kampuni ya Zara Tours Zainabu Anselm akiongea juu ya kampuni yake ambapo aliwataka wananchi wajitokeze kwa wingi kutembelea vivutio vilivyopo ndani ya nchi yetu na sio kuendelea kuviona kwa mbali tu na kuvisikia
Mkurugenzi wa mamlaka ya hifadhi za taifa (Tanapa) Allen Kijazi akiongea na waandishi wa habari
meneja Utalii na masoko wa Tanapa Ibrahimu Musa katikati ni Mkurugenzi wa Tanapa Allen Kijazi wa kwanza kushoto ni Afisa uhusiano wa Tanapa Paschal Shelutete
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA