Hofu ya vurugu yatanda Mwanza, wafanyabiashara wapanga kuchoma makanisa,misikiti na maduka

Wafanyabiashara walioondolewa katikati ya jiji wamedaiwa kununua madumu ya petroli na wanapanga kuchoma makanisa,misikiti na maduka kutoa hasira zao baada ya mgambo kuharibu sehemu zao za kufanyia biashara ili wahame baada ya kugoma kuhama kwa siku nyingi wakidai Magufuli ndio aliwaruhusu


Hayo yalisemwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mary Tesha na kuongezea kuwa waache kwani watachukuliwa hatua kali



Chapisha Maoni

0 Maoni