Mara nyingi mtu anaweza sema kuwa, ni suala la kawaida na ambalo lipo katika kila jamii, lakini kumbe unakosea. Hili suala la upigaji punyeto ndilo limefanyiwa utafiti ambao unaonesha kuwa ni kitendo kinachoongoza kwa kuua kuliko hata abortion.
Mahenga blog leo linawakumbusha wanaume kuachana na tendo hili ili kuokoa kizazi kijacho, haitampendeza Mungu tukiishi kwa kuua kila siku.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA