Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amelazwa katika Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es salaam akipata matibabu ya maradhi ya moyo
Zungu alipelekwa hospitali baada ya kuzidiwa ghafla akiwa nyumbani kwake, hata hivyo imelezwa kwamba hali yake inaendelea vizuri.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA