Hofu ya Nahodha wa Simba Jonas Mkude,kutua Yanga msimu ujao imezidi kutanda baada ya mchezaji huyo kuonekana kwenye mazoezi ya mabingwa hao kwenye uwanja wa Gymkhana, akiwa na winga Simon Msuva kwenye mazoezi ya Yanga Jumamosi wiki hii
Kunauwezekano mkubwa mchezaji huyo akatua Yanga msimu ujao kama viongozi wa Simba hawata mtekelezea kile anachohitaji
source: Goal.com
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA