MRISHO GAMBO: Atakayejaribu kucheza na serikali, hatutamvumilia

"Atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"


Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.

Chapisha Maoni

0 Maoni