Nay wa Mitego: Mimi huwa siimbi uongo, tumesikia mimba ya Wema iliyeyuka, tukasikia pia Ommy Dimpoz anapumuliwa

Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama alivyodai, Ommy dimpoz akatajwa anapumuliwa na diamond na shetta gari yake ya milioni 100 nayo ikayeyeuka VIDEO: 

Chapisha Maoni

0 Maoni