NIKKI MBISHI Akutana Live na Chid Benzi na Kuandika Haya...." He is Finished"


Nikki Mbishi Aka BabaMalcom amedai kuwa amekutana na Mwanamuziki Mwenzake Chid Benz na kudai kuwa amekwisha, Akiwa na maana ana hali mbaya nadhani kutokana na matumizi ya Madawa ya kulevya...
Ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa facebook:

Nikki Mbishi BabaMalcom: "I met Chid Benz,damn he's finished!"

Chid Benz amekuwa katika matumizi ya madawa ya kulevya muda mrefu sasa, Babu Tale alijitolea kumsaidia lakini nadhani imeshindikana kwani kuna tetesi kuwa jamaa karudi kwenye matumizi ya madawa hayo
Pichani ni Chidi Benzi, Akiwa Rehab Bagamoyo ambapo alikaa mwenzi mmoja na kuondoka

Chapisha Maoni

0 Maoni