Serikali imesema ina makaa ya mawe yanayoweza kutumika kwa miaka zaidi ya 2OO na kubaki, amesema serikali ilikaa na wenye viwanda na wakakubali kutumia ya hapa
nchini
Imesema Dangote ametaka kununua tani 5OOO lakini hajazilipia wala kutia saini kama anahitaji na wamemtaka akanunue makaa hayo
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA