Ukiambiwa kwamba Diamond Platnumz ndio msanii pekee afrika masharika ambae shows zake zinaongoza kwa kuwa sold out usikatae, Diamond ni msanii ambae anadhubutu.
Vodacoma Wasafi Beach Party hii imekuwa show kali ya kufingia mwaka ambayo imefanyikia Jangwani sea breezy. Show hii imedhihirisha ukubwa alionao Diamond kwani watu walijaa japo kiingilio kilikuwa ni cha bei ya juu.
hapa chini nimekusogezea baadhi ya picha za kilichotokea.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA