Mkapa amesema mambo ya kuzingatia ktk uongozi bora ni kuwa msikilizaji, mvumilivu na kupenda kusoma mambo ya ndani na nje ya nchi.
Mkapa aliyasema hayo kwenye kongamano maalum la maadhimisho ya kumbukuzi ya Mwalimu Nyerere.
Je hii huenda ni dalili kuwa atatoa kauli kumkemea Rais Magufuli?
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA