
Mara baada ya Ubingwa wa La Liga 2016/2017 Kocha wa Timu ya Real Madrid na Mchezaji wa Zamani wa Timu hiyo Zinedine Zidane amesema maneno haya
" Umekuwa ni msimu mgumu ambao Tumepambana, umekuwa na matukio magumu ndani yake, lakini baada ya michezo 38 Tuko Juu ya msimamo, ni hayo Tu "
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA