Mwenyekiti wa kamati ya Usajili SIMBA Zacharia Hans Poppe Amempondea Nahodha wa klabu hiyo Mkude Kuhusu kuwa na uwezo mdogo wa kutengeneza Mashambulizi anapocheza eneo la kati Ukilinganisha na Kotei.
Hans Poppe Amezungumza maneno hayo akiongea na Global Tv kupitia Spoti Hausi
" Ukitizama kwa mfano Kotei Akicheza namba 6 anapeleka Mashambulizi vizuri sana lakini Mkude akicheza namba 6 hakuna mashambulizi Mbele anacheza Square Pass, Ukabaji wake ni Mdogo sana Ukilinganisha na Kotei " Alisema Hans Poppe
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA