Na David David Kafulila
Kuna ujumbe unasambazwa ukidai kuwa mimi David Kafulila nimemshutumu Mhe Tundu Lissu kuhusu msimamo wake sakataka la mchanga na kwamba amehongwa kufifisha juhudi za Rais. NAOMBA KUSISITIZA KWAMBA UJUMBE HUO SIO WANGU, NISIASA ZA VIOJA BADALA YA HOJA. MHE LISSU AMEBOBEA ENEO HILI, NIVEMA SERIKALI NA CCM IJIBU HOJA BADALA YA VIOJA.MSIMAMO WANGU UPO WAZI KWAMBA TATIZO LA MADINI MKAPA&JK WAONDOLEWE KINGA WACHUNGUZWE KAMA KWELI RAIS AMEAMUA KUKABILI TATIZO, KWAKUWA NDIO MSINGI WA YOTE HAYA.RAIS WA ZAMANI NIGERIA ABACHA ALIPOCHUNGUZWA ALIKUTWA KAHONGWA $3BN (ZAIDI YA TRILION7 ZA KITANZANIA). SIJUI HAWA WALIVUTA NGAPI KUHALALISHA MIKATABA HII YA UPORAJI. CCM KAMA MMEKOSA HOJA VEMA MKAE KIMYA BADALA YA KUSAMBAZA UPUUZI. KAMA KWELI CCM MNAUCHUNGU NA UPORAJI HUU MSHINIKIZENI RAIS TUONDOE KINGA WATU HAWA WACHUNGUZWE BADALA YA KUCHUNGUZA VIDAGAA!
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA