DARAJA LA KIGAMBONI KUITWA JINA LA MWALIMU NYERERE KAMA ILIVYOPENDEKEZWA NA RAIS JPM: NINI MAONI YAKO?



DARAJA HILI KAMA LINAVYOONEKANA KWENYE PICHA limependekezwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa lipewe jina la Mwl Julius K. Nyerere kama moja ya njia za kumuenzi baba wa Taifa.

Je, nini maoni yako katika pendekezo hili la kumuenzi baba wa taifa kwa njia ya miundombinu?

Chapisha Maoni

0 Maoni