SHIRIKI SWALI NA BLOG YANGU KILA WIKI.AU TUMA SWALI USAIDIWE...

Shiriki katika maswali mbalimbali ambayo nitakuwa nayatuma katika blog hii kila wiki na matokeo nitayapeperusha hewani, ama binafsi waweza kuangalia matokeo mara nyingi uwezavyo. Tembelea blog hii na angalia swali litakalokuwepo chini ya picha ya blogger kisha jibu papo kwa hapo. Kutakuwepo na maswali lukuki aidha ya bangua bongo, ama ya kielimu.
Waweza pia kunitumia msomaji wangu swali ambalo ungependa usaidiwe nami nitaliweka hewani kwa moyo mweupe. Nitumie kwa simu nambari +255 759 947 397/ +255 785 777 7710

Chapisha Maoni

0 Maoni