SWALI LA WIKI: Ni Mwanafalsafa gani alipenda kutembea peku?

Falsafa ni kila kitu katika maisha ya kila siku na kwa kazi
nzuri zilizowahi kufanywa na wanafalsafa watangulizi ndizo leo hii ni kama muongozo katika maisha yetu. Kila unachokifikiria ni falsafa na kila falsafa ni wazo madhubuti katika maisha ya kila siku.

Swali la wiki hii katika blog ni: Mwanafalsafa gani alipenda kutembea peku?

Shiriki kujibu swali hili kama linavyoonekana katika blog chini ya wasifu. Angalia matokeo wakati wowote kwa kubofya kitufe cha kuangalia matokeo. Kushiriki kwako ni muhimu sana

Chapisha Maoni

0 Maoni