MADA MOTOMOT JUU YA ELIMU NA MITAALA YA TANZANIA KUKUJIA HIVI PUNDE..

Kaa karibu nami ndugu msomaji wa blog yangu na ukae mkao wa  kula kwa mada
kabambe zitakazohusu sera, mwelekeo, mitaala na changanuzi kadha wa kadha juu ya Elimu yetu. Tutakutana na wataalamu wa masuala ya kielimu mbalimbali wakiwemo kutoka chuo kikuu cha Dodoma na makala zao zitaanza kuchapishwa si punde.

Kaa tayari pia kupokea makala mbali mbali za siasa za Tanzania na hatima ya maendeleo ya nchi kupitia hapahapa jamvini.

Chapisha Maoni

0 Maoni