VIDEO: ANGALIA UBABE WA MUGABE ALIVYOWAHI KUMTUKANA MWANDISHI WA HABARI MZUNGU

Fahari yangu ni kukukumbusha vile rais huyu kufuli la mmarekani alivyo kiburi. Rais Mugabe alibanwa sana na mwandishi huyu wa
habari baada tu ya kutua Misri, Swali lililomuudhi zaidi Mr Mugabe ni juu ya kile kinachoitwa ulevi wa madaraka. Mwandishi huyu alimuuliza ni kwa nini bado anahisi wananchi wa Zimbabwe bado wana imani na yeye. Hapo ndipo akawa ameugusa mkia wa simba. Angalia vile alivyomshushia matusi akataka hadi kupigana.

Chapisha Maoni

0 Maoni