HABARI: TANI ZAIDI YA 4,579 ZA SUKARI ZABAINIKA KUWEPO KATIKA MAGHALA YA TABATA JIJINI DAR.

Wakati mfumuko wa bei ya sukari ukipanda hadi kufikia Tsh 3,500 kwa kilo, zaidi ya tani 4579 zabainika kuwepo katika maghala ya Mbagala na Tabata jijini Dar zinazoaminika kuhifadhiwa na wanfanya biashara wa sukari wakubwa nchini.

TAKUKURU imeanza uchunguzi wa karibu kufuatilia shehena hiyo chini ya mkurugenzi wa TAKUKURU Valentinen
Mlolowa kwa ushirikiano wa jeshi la polisi nchini.

Chapisha Maoni

0 Maoni