Breaking News! Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

Jamani tunaomba msaada, gari namba T400DEH Toyota Harrier Rangi ya silver imeibiwa maeneo ya Makonde Mbezi beach nusu saa imepita na kuelekea barabara ya Goba na ikiwa na mtoto mdogo ndani yake.

Tumsaidie mwenzetu...    

Chapisha Maoni

0 Maoni