Breaking News! Uvccm wanyukana ngumi mwanza kisa posho na mgawanyo wa mapato

Umezuka mgogoro mkubwa ndani ya uvccm mkoa wa mwanza na kupelekea ugomvi mkubwa kutokana na baadhi kuzurumiwa posho na viongozi wa juu wa mkoa na kushindwa kusomea mapato na matumizi na viongozi hao wa uvccm wengine wametishia kuhama chama na wengine amerudisha kadi zao .

 Chanzo cha habari chetu kinasema, baada ya kuzuka kwa ugomvi huo, wengine wametupa kadi zao huku wakikwidana kila mmoja.

Chapisha Maoni

0 Maoni