UKWELI JUU YA GARI LILILOIBIWA MIKOCHENI HUU HAPA, SHOPPING ZA MTANDAONI CHANZO.

⁠⁠⁠Gari imeibiwa, 23/4/2016 Shopper plaza- Mikocheni, mida ya saa 9 mchana. Ni Volkswagen Tourge, Blue color... Kama umeiona au unajua ilipo au unajua chochote tafadhali piga number hii ‪+255 715 066 278‬ au toa ripoti polisi.



Iko hivi, hili gari (kama linavyoonekana kwenye picha) liliwahi kupostiwa  kwenye mtandao wa kupatana, na mnamo jumamosi, aliyelipost alipigiwa simu na Muhindi kuwa kalipenda gari. Muhindi alipokuja, aliomba fundi alijaribie kuendesha, lakini kutokana na matengenezo (kwa madai yake) hakukubali kulijaribia. Siku hiyo ya jumamosi account wa muhindi alitoa mkataba feki na njama ya kuliiba ndipo ilianzia hapo.

Kesho yake dada wa watu akaenda shoppers plaza. Accountant akaja wakaingia wote kwenye gari wakadrive kidogo. Basi wakapaki accountant akamrudishia dada funguo yake wakashuka, akamwambia muhindi nae keshafika shoppers anataka aone mwenyewe so yeye anaenda kumtafuta upande wa pili wa shoppers then anakuja nae so awasubiri pale juu Art Cafe. . Dada wa watu akawa amekaa anawasubiri. Kasubiri mpaka kachoka, jamaa hajarudi. Kuchungulia chini gari yake haipo.

UNAJUA ALIIBIWAJE? Siku ya kwanza Fundi wa gari alipokuja alikuwa kaja kuangalia funguo wa gari ukoje. Wakaenda kutengeneza similiar looking key. So siku alipoibiwa jamaa alivyosema anataka kutest drive gari ni kwamba alitaka tu funguo ya gari. Then akamrudishia funguo fake ambayo imefanana na yake. Then wao wakasepa na gari.

Namba aliokuwa anatumia muhindi ni 069 271 3707 na imesajiliwa TIGO
Kwa Jina la Aleej Khimji. Number ya accountant ambae ndo aliiba gari alisema anaitwa Omar ni +255 715 936 985 na number ya Fundi aliejiita Joseph ni +255 715 937 547    

Chapisha Maoni

0 Maoni