Simba S.C yala sahani moja na vigogo hawa wa Ulaya.

Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich

Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare jambo moja na timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba S.C [Taifa Kubwa].. Jambo hilo ni lipi??
Mpaka sasa, katika msimu huu wa 2016/2017... timu hizo zimecheza mechi zake za ligi bila kupoteza. Yaani ni kama Mnyama vile.. Zinagawa vipigo tu, mfululizo mfululizo na visare vya hapa na pale.

Kila la heri Simba S.C katika safari yako ya kuivunja rekodi uliyoiweka mwenyewe ya kumaliza ligi bila kufungwa.

Chapisha Maoni

0 Maoni