MAJANI YA NGANO, DAWA YA KISUKARI


Ni miezi sita sasa tangu nilipoanza kuuza majani ya ngano kwa wagonjwa wa Kansa, Kisukari, vidonda vya tumbo na Presha na matokeo yake wengi wamepona na wengine bado wanaendelea na matibabu na maendeleo yao ni mazuri sana.


Nimeweza kupanua wigo kwa wagonjwa wa mikoani na nimefanikiwa kuwatumia wagonjwa kadhaa na wanaendelea vizuri tangu waanze kutumia tiba hii ya juisi ya majani ya ngano.

Ni tiba nzuri kama utaitumia kwa mfululizo kwa kipindi cha wiki sita na wengi waliofuata masharti hayo wamepona kabisa.

Juisi ya majani ya ngano si kwa ajili ya tiba pekee bali pia inasaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuzuia maradhi kwa watu wenye umri mkubwa kuanzia miaka 40.

Kwa kawaida tunapofikisha umri mkubwa kinga ya mwili inakuwa imechoka kutokana na kupambana na maradhi mbalimbali yanayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa au mitindo ya maisha tunayoishi. Kwa sababu hiyo kinga ya mwili inakuwa haitendi kazi vyema kutokana na kuchoka kwa kazi ngumu ya kupambana na maradhi mbalimbali yaliyokuwa yakitushambulia. Lakini pia matumizi ya dawa za hospitalini ya muda mrefu au yasiyozingatia ushauri wa wataalamu wa tiba ni sababu nyingine inayodhoofisha uwezo wa kinga ya mwili.

Juisi ya Majani ya ngano ndiyo muarobaini wa kuhuisha kinga ya mwili na kurejesha uwezo wake wa awali katika kutibu na kuzuia maradhi kama itatumika kwa muda mrefu kwa kuwa imebeba virutubisho vingi ambavyo vinakidhi mahitaji ya kimwili katika kutibu na kulinda afya zetu.

Pamoja na faida nyingine lakini pia Juisi ya Majani ya Ngano inasaidia kupunguza dalili za uzee, yaani kumfanya mtu kuwa na muonekano wa umri mdogo tofauti na umri wake halisi.

Chapisha Maoni

0 Maoni