Watu watatu akiwemo muhitimu wa MUHAS wafariki katika ajali

Watu watatu akiwemo muhitimu wa udaktari chuo kikuu cha Muhimbili tawi la Tanga wamefariki na wengine watatu wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.


Ajali hii ni baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar-es-Salaam kwenda katika harusi mkoani tabora kupinduka na kubingirika mara tatu katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Singida.

Chapisha Maoni

0 Maoni