Mwanadada machachali katika anga la sanaa Zuwena Mohammed AKA shishi
baby amekita msumali bila huruma kuhusu sakata linalosumbua vichwa vya
watu wengi kwa sasa juu ya ushoga wa Ommy dimpoz pkpShilole kupitia ukurasa wake wa insta amemtupia kijembe Ommy dimpoz kwa kusema bora yeye (shishi) anaishi mjini kwa kutegemea kuhongwa na wanaume kwa kuwa yeye ni mwanamke na suala hilo ni la kawaida kufanywa na mwanamke kuliko huyo ommy dimpoz anaishi na kutanua mjini kwa kugawa jicho kwa wanaume wenzake

0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA