Baada ya kusemekana anaficha ujauzito wa Ray, sasa picha ya Chuchu Hansi yanaswa na paparazi wetu


Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue  Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa ni Mama Kijacho...



Chuchu Hans Alikaririwa Akisema Haya:

“Unajua vitu kama hivyo ni too personal na nisingependa kuviongelea especially kwenye media. Lakini muda muafaka ukifika kila mmoja atajua nini ni nini, ila kwa sasa acha ikae hivyo watu waendelee kuhisi,” amesema muigizaji huyo.

Chapisha Maoni

0 Maoni