Baada ya wema sepetu kushambuliwa na mashabiki wa zari kuwa hazai.Wema aamua kujibu mapigo

Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"

Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee kupost picha za watoto wa watu wakati wenzake wanazaa.

Baada ya mwanadada wema sepetu kukosa uvumilivu,Aliamua na yeye kujibu mapigo usiku wa leo katika account yake ya instagram
1481092510509.jpg

Chapisha Maoni

0 Maoni