DW yautangaza wimbo wa Diamond na Papa Wemba 'Chacun pour soi' kuwa wimbo bora wa mwaka 2016 nchini Tanzania


Legend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hatosaulika katika muziki wa Dansi. Kwa sasa ameshatangulia mbele za haki lakini ‘Chacun Pour Soi’ ni wimbo aliofanya na Diamond Platnumz wiki chache kabla ya kufariki.





Romy Jons, Papa Wemba (katikati) & Diamond Platnumz
Good news ni kwamba Kituo cha  habari cha Radio Deutsche  Welle DW Swahili kimeutangaza wimbo wa Chacun Pour Soi wa hayati Papa Wemba alio mshirikisha Diamond Platnumz kuwa umeshika nafasi ya kwanza kama wimbo Bora wa Mwaka 2016.

Chapisha Maoni

0 Maoni