Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye VODACOM Wasafi show huko Iringa


Ni Usiku wa Dec 25, 2016 ambapo wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee waliiandika historia katika mkoa wa Iringa.

Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival ilifanyika katika uwanja wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika tamasha hilo.














Chapisha Maoni

0 Maoni