Humphrey Polepole: Bado naamini katika mfumo wa serikali tatu

Katibu mwenezi mpya wa CCM aliyevaa viatu vya Nape, Humphrey Polepole amesema bado anasimamia msimamo wake alioutoa wakati wa bunge la katiba, kuwa Tanzania inahitaji muundo wa serikali tatu.


Msimamo huu unaonekana kwenda kinyume na msimamo wa chama chake.

Source: Mtanzania, Jambo Leo.

Chapisha Maoni

0 Maoni