Majaliwa awakuna wapinzani kikao cha majumuisho ziarani Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majukmuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule Laiza. 
Wabunge wa Arusha wakifuhia hotuba ya majumuisho ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Desemba 27, 2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. 
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, akionyesha ishara ya kukubaliana na maneno ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotoa hotuba ya majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel. 

Baadhi ya Wenyeviti wa halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18, 2016 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (wapili kulia) na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isaac Joseph (kulia) baada ya Waziri Mkuu kumaliza kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa huo, Desemba 18, 2016 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki KalistiLazaro (wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.

Chapisha Maoni

0 Maoni