Mwanahabari Mpoki Bukuku afariki dunia baada ya ajali

Mpoko Bubuku kushoto  akiwa na Juma Pinto  wakati wa uhai wake alipokuwa akiwania uenyekiti wa chama  cha  waandishi wa habari za  michezo Tanzani (TASWA)
Mpoki siku ya  harusi yake
Mpoki  Bubuku  akiwa na Rais wa awamu ya  nne Dkt Jakaya Kikwete


Taarifa  zilizoufikia  mtandao huu wa matukiodaima ni  kuwa  Mpoki  Bukuku  ambae ni mpiga picha mwandamizi wa gazeti  ya Nipashe  alipata  ajali ya  kugongwa na gari jana usiku  maeneo ya Mwenge  jijini  Dar es  Salaam na kukimbizwa  Hospitali ya  Taifa  kwa  matibabu baada ya  kuvunjika miguu na mikono mchana   huu umefariki  dunia 


Mwenyezi  Mungu ailaze  roho yake mahali pema  peponi 


Amen

Chapisha Maoni

0 Maoni