Naibu katibu mkuu mpya wa CCM, Mpogolo, akabidhi madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoani Morogoro

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Katika ziara hiyo alimkabidhi mkuu huyo wa mkoa madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoa huo na baadaye alifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogo Innocent Kalogeris 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa wilaya ya Morogoro Regina Chonjo alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Katibu Mwenezi wa mkoa wa Dorothy Mwamsiku alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akielekea kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro baada ya mapokezi
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa kikakamavu wakati wakimpokea Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, alipowasili Ofisi ya CCm mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akivishwa skavu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo. Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM wa mkoa huo, Kulwa Milonge. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara akimsalimia Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 15, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akimsalimia Mweka Hazina wa mkoa wa Morogoro, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akimsalimia Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Morogoro Mecky Mdaki alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo alimsalimia Mkuu wa mkoa waMorogoro mstaafu, Steven Mashishanga, alipowasili ofis ya CCM ya mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimia Wazee maarufu, alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa wa Morogoro leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, wakati akisubiri ratiba ya shughuli zake ianze, alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa huo leo. Aliyesimama ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimiana na Ofisa Mwandamizi wa Makao Makuu ya CCM, Steven Kazidi walipokuwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, leo.

Chapisha Maoni

0 Maoni