Ronaldo aiongoza vyema Real Madrid kuchukua ubingwa club bingwa Dunia


MATOKEO KLABU BINGWA DUNIA (REAL MADRID VS KASHIMA ANTLERS 


Cristiano Ronaldo ameiongoza vyema Timu yake ya Real Madrid kushinda taji la Ubingwa wa Dunia ngazi ya Klabu baada ya Kufunga Hat-trick wakati Real Madrid ikishinda bao 4 kwa 2.

Hii inakuwa Hatrick yake ya 40 akiwa kama mchezaji wa Real Madrid, na Madrid wanakuwa mabingwa wa Klabu bingwa Dunia.

Chapisha Maoni

0 Maoni