Salamu ya waziri kwa rais huko Cameroon yawa gumzo mitandaoni

Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zinazidi kusambaa mitandaoni.

Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo na hata kuifanyia mabadiliko.


Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya

Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Mfano mwingine ulibuniwa.

Huyu naye alishuka hata chini Zaidi.
Huyu jamaa naye aliamua kushuka.
Wanyama pia walishiriki.
Je umeiona hii?
Na hata mbuzi huyu alishirikishwa ambaye picha yake iliwekaa mtandao wa Facebook.

Chapisha Maoni

0 Maoni