Tanzania yatajwa ni nchi isiyo na uaminifu zaidi duniani!

Tanzania na Morroko zimetajwa ndiyo nchi zisizokuwa aminifu zaidi duniani kati ya nchi 159 zilizofanyiwa utafiti. Utafiti huo umefanywa na jarida la week la Nature ambao umegusa maeneo ya Rushwa, Udanganyifu wa Kodi, Siasa, Kivuli cha Uchumi, Kipato cha mwananchi, Haki za kisiasa, Ufanisi wa serikali, Kuwalazimisha Watendaji nk.. Kenya pia imo katika orodha hiyo nchi zisizo aminifu. Nchi zilizotajwa kuwa aminifu zaidi kuliko zote duniani ni Uingereza, Uholanzi na Austria.

Tafsiri:

A study conducted by Nature, an international weekly journal of science, has named Tanzania and Morocco as the most dishonest countries in the world. The most honest countries, according to the study, were the United Kingdom, Austria and the Netherlands, while other dishonest countries included Kenya, Indonesia and Guatemala. The report, which examined 159 countries for their varying levels of corruption, political and tax fraud, also studied shadow economies, the prevalence of rule violations, government effectiveness, GDP per capita, political rights, constraint on executives and individualism.

Chapisha Maoni

0 Maoni